Wewe ni Mwema by Israel Ezekia
Verse 1
Najambelezako mungu wanguu, Nikiwanazo heshima zotee,
Ninakiri yale uyatendayo, Hakika wewe ni mwema
(Repeat)
Muweza yote…
Chorus
Wewe ni mwema… Haufananishwi, wewe ni mwema baba x2
Verse 2
Wewe ndiwe baba… wa mataifaa, unatenda mambo yaajabu,
Ninakiri yale uyatendayo, Hakika wewe ni mwema.
(Reapeat)
Chorus
Wewe ni mwema… Haufananishwi, wewe ni mwema baba (Repeat)
This song really blesses me, Glory be to God
ReplyDeleteWewe ni mwema Baba
ReplyDeletePowerful Song. May God bless you Israel Ezekia
ReplyDeleteListening to this song over and over from kitale to Nairobi and back and still can't get enough of it"Hakika Wewe Ni Mwema
ReplyDeleteKwa hakika yeye no mwema. God is so good Amen ezekia
ReplyDeleteSuch a wonderful praise song. God bless you Israel Ezekiel
ReplyDeleteHakika yeye ni mwema jamani
ReplyDeleteYeye ni mwema wakati wote ...
ReplyDelete