Friday, February 27, 2015

Wewe Watosha


 

Bwana, Nimekuja Kwako, Kuliinua Jina Lako,
Kwani Wewe wa Tosha, Wewe Furaha Yangu,
Wewe Watosha
(Repeat)

Nainua Mikono Yangu, Nikisema Webwana,
Ukaniokoa Kutoka Mautini, Ninasema we Bwana,
Ninakiri Uwezo Wako, Wewe Watosha
(Repeat)

No comments:

Post a Comment